"Kama mtakumbuka niliahidi kutoa awamu
ya pili tar 15 au 17 May na ahadi ni deni..Japo naona mbali ila
Nitafanya hivyo, bado nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu Ruge na
wenzake...Ile ilikuwa ni trailer tu, Movie ndio linaanza sasa
#TeamAnaconda no surrender" Lady Jay Dee
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment