Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
GK
Hii imesikika muda mrefu, uhusiano wa Loveness Diva na Crazy GK.. minong’ono ikamfikia Soudy Brown kwamba wawili hao wameachana kisa ni PICHA inayomuoneshaDiva akipigana mabusu na star wa Bongo Fleva kwenye show.
Soudy Brown amemtafuta GK ambae amesema hakuwepo kwenye show hiyo, aliziona picha hizo kwenye mitandao na yeye aliona ni tukio la kawaida kwa sababu wote ni watu wa burudani.. ishu ya kuachana kumbe sio kweli, GK amesema bado wako pamoja kama zamani yani.
Kusikiliza story yote bonyeza play hapa chini…

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top