Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Staa mrembo wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole ‘Shishi Bybee’ amewataka watu wamuache afanye kile anachokitaka kwenye maisha yake na sio kumpagia aishi vipi.

Shishi Bybee aliyasema hayo mara baada ya baadhi ya watu kumshambulia kwa maneno baada ya kuweka picha picha akiwa yupo kwenye bwawa la kuogelea.

Yaani watu mnapenda kunipa raha sana mimi mwenywe nimejikubali na mimi nipo swimming mlitaka nivae dela??? Nioge nalo kwa hiyo tunapangiana na maisha ya nyumban pia lol! Kila mtu na life yake naombeni mniache nifanye yangu” Shishi alisema.

Baadhi ya watu walionyeshwa kukelwa na picha hizo (hapo juu) za Shilole wakidai kuwa zinamdhalilisha kama mwanamke kwani sehemu kubwa ya mapaja yake yapo wazi.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top