
Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro linawashikilia watu watano kwakupatikana na vipande 8 vya meno ya Tembo wakati wakisafirisha katika fuso iliisheni magunia ya pumba katika eneo la daraja mbili barabara ya mikumi kilombero mkoani morogoro.


Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment