Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Staa kutoka nyumba ya kukuza vipaji Tanzania ‘THT’, Khadija Maige ‘Kadja Nito’,  hatimaye ameamua kufunguka na kusema kuwa, kwa maisha yake ya sasa ya kimuziki haoni kama kuna umuhimu wa kufikiria masuala ya kuolewa.

Akizungumza na mwandishi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita Kadja alisema kuwa, muziki sasa ndiyo kila kitu kwake hivyo hawezi kumpa nafasi mwanaume au kuzungumzia suala la ndoa hivi sasa.
 
Naweza kuishi maisha yangu bila mwanaume, napata mshiko, nawasaidia ndugu zangu na mimi najimudu, mume wa nini maisha haya? Sasa ni muziki na mimi, mimi na muziki, mapenzi yasubiri,”alisema Kadja.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top