May 16, 2025 10:04:27 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Wakati hit single ya Diamond Platnumz, Ntampata Wapi inatoka mwaka jana, watu wengi waliamini kuwa wimbo huo amemwandikia ex wake, Wema Sepetu.

Tetesi hizo zilienea baada ya kubainika kuwa wawili hao wameachana tena. Hata hivyo Wema amedai kuwa si kweli.
 
“Leo nasema rasmi kuwa hii nyimbo hakuniandikia mimi,” Wema aliiambia Radio 5 ya jijini Arusha.
 
“Because nilikuwa naisikia hii nyimbo hata wakati tulipokuwa kwenye uhusiano amekuwa akiimba, akiindika kwahiyo ilikuwa tu ni moja ya nyimbo zake kama anavyoandika nyimbo zote lakini nadhani tu timing ya kutoka ndio kidogo imekuwa na utata because kaitoa timing ambayo watu wote wakadhani kamuimbia Wema but in real sense noo,”aliongeza Wema.
 
Msikilize zaidi hapo chini.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
09 Mar 2015

Post a Comment

 
Top