Wema Sepetu akiwa ndani ya studio za Radio 5 jana mara baada ya kufanya ziara fupi mjengoni hapo akielezea pia kuhusu show yake ya black and white party iliyofanyika usiku wa tarehe 7/3/2015 jijini Arusha.
Kushoto ni mtangazaji mahiri wa kituo hicho Wilfredy akiwa anafanya kipindi na mwanadada huyo, Wanaoonekana pichani ni team Wema.(Habari Picha na Pamela Mlollel wa jamiiblog)
Wema Sepetu akiwa anaeleza furaha yake yakuwepo jiji Arusha ambapo amesema jiji la Arusha ni miongoni mwa majiji anayoyapenda, Mwanza ikiwa ya kwanza na Arusha ya pili, Kulia ni msanii Petiman a.k.a Wakuache.
Muonekano wa Wema Sepetu akiingia mjengoni akiwa katika gari la kifahari la wazi.
Meneja wa Wema Sepetu Martin Kadinda akiwa anatoa neno la shukran kwa wana Arusha kwa mapokezi yao makubwa.
Team mishemishe wakiwa na Wema Sepetu, kushoto; Mwanaisha Suleiman, Wema Sepetu, Mwangaza Jumanne na Hilda Kinabo wakishoo love.
Mtangazaji mahiri wa kituo cha Radio5 Wilfredy akiwa katika picha ya pamoja na mwana dada Wema Sepetu.
Picha na Mpekuzi blog
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment