Askari akiwa ndani ya duka la vinywaji akifanya mahojiano na wahusika.
VITENDO vya ujambazi vinazidi kushika kasi kwenye jiji la Dar, ambapo tukio jingine limetokea leo mishale ya saa kumi jioni maeneo ya Mikocheni Kwa-Mwalimu Nyerere baada ya watu wanne kutinga eneo hilo wakiwa na pikipiki na kumpora mlinzi silaha aina ya Short Gun aliyekuwa akilinda kwenye ATM ya CRDB. Majambazi hao waliitumia bunduki hiyo kwa kuvamia duka la vinywaji lililokuwa jirani na kuiba kiasi kikubwa cha pesa japo hakikuweza kufahamika kwa wakati huo.
(HABARI/PICHA: MAYASA MARIWATA NA SHANI RAMADHANI/GPL)
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment