March 22, 2025 05:48:59 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
drooShirikisho la Soka Ulaya (UEFA) leo limekamilisha upangaji wa ratiba ya mechi za robo fainali ya ligi ya mabingwa iliyofanyika Switzerland.
Katika ratiba hiyo Real Madrid itacheza na Atletico Madrid huku Barcelona wao wakiwa na kibarua kigumu dhidi ya Paris Saint-Germain ama ‘PSG‘ ambayo iliiondoaChelsea kwenye michuano hiyo.
fifaaaaFC Porto watakutana na Bayern Munich nao Juventus wakiwa na kibarua kikali dhidi ya AS Monaco ya Ufaransa iliyoiondoa Arsenal.
Mechi:
PSG Vs Barcelona
Atletico Madrid Vs Madrid
Porto Vs Bayern
Juve Vs Monaco

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
20 Mar 2015

Post a Comment

 
Top