Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Fighting

Mwanaume mmoja Nigeria Udeme Inim amekamatwa kwa madai ya kumshambulia na kumng’ata sikio mtoto wake wa kiume wakati akiamulia ugomvi kati yake na mke wake nyumbani kwao mtaa wa Asaka, Nigeria.

Kulitokea ugomvi kati ya wawili hao, Inim alianza kumpiga mke wake ndipo kijana huyo Christopher Bassey alipoingilia kwa lengo na kumwokoa mama yake lakini baba yake alipatwa hasira na kumng’ata sikio na kulikata.
Father-Bits-Off-Son’s-Ear-For-Trying-To-Stop-Him-From-Beating-His-Mother
Bassey alipelekwa Hospitali ya jirani lakini madaktari hawakufanikiwa kurudishia sikio hilo, mwanaume huyo alikamatwa na kushtakiwa kwa kosa la kushambulia  na kuwekwa jela  huku dhamana yake ikiwa ni Naira 20,000 (sawa na Tshs. 180,000/-).

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
06 Mar 2015

Post a Comment

 
Top