Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kila kukicha kumekuwa na mambo mapya katika jamii inayotuzunguka na kutokana na utandawazi umetufanya tuone na kujua kila kinachoendelea katika ulimwenguni huu wa sayansi na teknolojia.
 
Kwa sasa kumekuwa na mitindo mbalimbali ya fashion kama kwenye nguo, makeup, viatu na kubwa zaidi kuhusu hii style mpya hapa mjini ya kila mtu kuweka dread kwa namna yake, sasa mama moja wa makamo na  raia wa Ghana alitoa mpya baada ya nywele zake kuzivisha kondomu kwa kuzifunga kama dreadlock

Ingekuwa  ni  Tanzania  mwanamama  kavaa  kondom  kichwan  ingekuaje  mtaani?????

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
08 Mar 2015

Post a Comment

 
Top