March 21, 2025 03:52:11 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Hatimaye Spika wa Bunge la Tanzania pale Dodoma atakuwa na makazi rasmi baada ya ujenzi wa nyumba ya Spika kukamilika na makabidhiano kufanyika. Nyumba hiyo ambayo ipo maeneo ya

Uzunguni nje kidogo ya Dodoma mjini imegharimu takribani Tshs 1.5 

Billion na imejengwa na kampuni ya Pacha Building Construction Company.
 Hii inakuwa nyumba ya kwanza rasmi ya Spika kwani hapo awali hapakuwahi kuwa na nyumba rasmi ya Spika.

Picture
Picture
Mlango wa mbele
Picture
Upande wa nyuma wa jengo
Picture
Ngazi ndani ya jengo ambalo lina vyumba vinne vya kulala, sehemu ya mapumziko, sehemu ya chakula, maktaba na jiko (picha: Prosper Minja)


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
15 Mar 2015

Post a Comment

 
Top