Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
20150321_180407
Uwanja wa Mkwakwani Tanga leo palikuwa hapatoshi, Timu ya Yanga walikuwa wakipambana na Mgambo JKT ambao walikutana na timu ya Simba na kuwafunga 2-0, leo ilikuwa zamu ya Yanga na Mgambo.

Dakika 45 za kwanza ziliisha kwa 0-0 lakini waliporudi kumalizia 45 za kipindi cha pili hali ilikuwa tofauti, Yanga waliwazidi nguvu Mgambo na kumaliza dakika 90 za mchezo kwa goli 2-0 ambapo Yanga walitoka kifua mbele kuthibitisha kwamba bado wanahitaji kukaa kwenye kilele cha ligi Kuu Tanzania bara.
Hapa nna pichaz hali ilivyokuwa uwanjani baada ya mechi hiyo kumalizika.
20150321_180221
20150321_180309
20150321_180355
20150321_180407

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top