Msanii wa Bongo Fleva, Hamis Ramadhan ‘H. Baba’, ni kama amejibu maneno yaliyokuwa yakizungumzwa na mashabiki wake juu ya ujauzito wa mkewe, baada ya kudai kuwa wanazaa kwa mipango.
H.Baba aliyasema hayo hivi karibuni na kusema kuwa yeye na mkewe ambaye pia ni mwigizaji wa filamu, Flora Mvungi, wamepanga kuzaa kulingana na mahitaji yao na muda wautakao, hivyo maneno yanayosemwa juu ya Flora kubeba mimba mtoto wao Tanzanite akiwa bado mdogo ni kuwakosea na kuingilia maisha yao.
Alisema wao ndio wanaojua familia yao itaishi katika mazingira gani, hivyo kila watakapohitaji mtoto watazaa kwa kuwa uwezekano wa kupatikana upo miongoni mwao.
“Ninaona sehemu tofauti watu wakizungumza juu ya ujauzito wa mama Tanzanite, amewahi kubeba mimba huku wakisahau kuzaa ni mipango ya mwanamke na mwanaume, alafu hakuna tutakayemuomba msaada kwa ajili ya familia yetu, hivyo tutazaa kila tunapoona muda umefika,” alisema.
Alisema ili kuhakikisha wapo makini katika suala la watoto wao, kila mmoja wanamuwekea mipango bora kwa ajili ya maisha yake na ndio maana yeye na mkewe wanatumia njia na mbinu nyingi kusaka fedha zitakazotunza vizazi vyao.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Diamond kuwania tuzo 5 za Afrima 2016, Alikiba na Yamoto Band moja08 Sep 20160
Diamond Platnumz ametajwa kuwania vipengele vitano kwenye tuzo za mwaka huu za Afrima. Vipeng...Read more ?
- Ujumbe wa Diamond kwa bintiye Wazua Gumzo......Kamwambia "Ukikua chonde mama ukitunze wasikile sana"23 Jul 20160
Diamond Platnumz si mgeni kwenye jumbe tata kwenye mitandao ya kijamii. Lakini ujumbe wake mpya...Read more ?
- Bifu Kali Kati ya Diamond na Clouds Media23 May 20160
Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa Diamond na brand kubwa ya radio na tv Clouds Fm, bifu la hadh...Read more ?
- Afande Sele Aungana Na Mbunge Joseph Msukuma Kuitaka Serikali Ihalalishe Matumizi Ya Bhangi02 Feb 20160
Msanii mkongwe wa hip hop nchini, Afande Sele amefunguka na kusema serikali ihalalishe matumiz...Read more ?
- Gari Jipya Analomiliki Masanja Mkandamizaji.10 Jan 20160
Msanii wa Vichekesho Anawakilisha kundi la Orijino Komedi anayejulikana kama Masanja Mkand...Read more ?
- Zari The Lady Boss Awakosha Mashabiki wa Penzi lake na Diamond Kwa Picha Hizi09 Jan 20160
Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ amewakosha mashabiki wa penzi lake na Diamond ‘Baba Tiffah’ baada...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment