
Kilichonifurahisha na kunifanya nizilete hapa ni hizi pozi zao mbili tofauti, kwanza wanaonekana kama wapo wanachombezana mara wanaonekana kama wamefumwaa…hahahaha hatari sana.
Kuthibitisha kuwa hii sio Le Project Nisha aliandika maneno haya kiutani kwenye picha hiyo hapo juu.
“Mahaba nitie pili pili za macho... kazini na my baby babu... Kiss mke mdogo la sivyo nakuoshesha vyombo”
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment