March 19, 2025 07:05:40 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Binti anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki, Menina Atick amelazimika kutumia mimu ya kujichora tatuu pajani ili kuziba kovu kubwa lililopo eneo hilo nyeti.

Msanii huyo mwenye figa tata alinaswa na mwandishi wetu maeneo ya Mikocheni kwenye Ukumbi wa Escape One akiwa amejichora tatuu na katika kufuatilia ikabainika kuwa, kovu kubwa lililoharibu eneo hilo ndilo lilisababisha urembo huo.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
20 Mar 2015

Post a Comment

 
Top