Rapper maarufu kwenye headlines za dunia, Drake aliotewa kwenye hizi picha na Mapaparazzi huko Australia akiwa na mrembo ambae inaaminika ndio girlfriend wake mpya.
Mrembo anaitwa Bernice Burgos mwenye umri wa miaka 34 ambae ana asili ya Puerto Rico na ni model/video queen aliyetokea kwenye video kadhaa kama Work Out ya J. Cole na ‘Diced Pineapples’ ya Rick Ross, Wale na Drake kwa mujibu wa Necole Bitchie.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro












Post a Comment
Post a Comment