1. Kila siku appointment zake yeye ni gheto kwake au anang'ang'ania kuja kwako, hakuna hata kwenda beach wala hotelini.
2. Siku ukiwa unaenda kwake, anakwambia njoo kwenye saa tisa au kumi. Ujue amekadiria hiyo mida utakuwa umeshapata lunch.
3. Ukiwa unaenda kwake hasemi ukikaribia nishtue nitoke kukupokea, ujue anaogopa akifika kabla yako itabidi alipie bajaji.
4. Ukiwa unaondoka kwake anasema sijisikii vizuri kwahiyo siwezi kukusindikiza, ujue anaogopa unapopanda bajaji itabidi akulipie.
5. Ukimwambia umefulia, anakwambia "pole mpenzi ndiyo maisha hayo" ujue hana cha kukupa.
6. Mkiwa mpo mahali inabidi kila mtu aondoke peke yake ukasikia anasema mimi nitapanda bajaji pale mbele kuna sehemu napitia, ujue hana hela anaenda kupanda daladala.
7. Kila mkienda kula restaurant jamaa anasema "mimi nimetoka kula sio muda njaa haiumi" haagizi hata maji ya kunywa ujue jamaa hana kitu.
8. Kama upo mtandao tofauti na yeye kila siku yeye anatuma tu sms, siku akitaka kupiga simu anakwambia "weka line ya tigo tuongee" ujue hana kitu huyo.
9. Ukiona anasisitiza kwamba hapendi wanawake wanaopenda vitu vya gharama kama simu n.k, ujue kaishiwa huyo akaoe ma house girl.
10. Ukiona kila siku ukikaa nae anakupa wosia kwamba mapenzi sio pesa, ujue hana kitu huyo.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Ni Kosa Kumwangalia Mwanamke Kwa Sekunde 14 Nchini India19 Aug 20160
Watumiaji wa mitandao ya kijamii wamelalamika kuhusu tamko la afisa mmoja aliyesema kuwa ni kinyu...Read more ?
- Pichaz: Ajali za kuchekesha… zinazotokea alafu unatamani kujua kama ni kweli na ilikuwaje?30 Jul 20150
Kuna ajali nyingine kwenye hizi picha unaona kabisa hii inawezekana ilitokea lakini kasoro ajali...Read more ?
- Nikiridhishwa KITANDANI sharti nimsifie mume Wangu- Joyce Kiria24 Jul 20150
Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria ametoa kali ya mwaka kwa kueleza kuwa, akis...Read more ?
- Njiwa mwenye Hirizi Asababisha Timbwili Baa09 Jun 20150
Timbwili la aina yake lilizuka mwishoni mwa wiki iliyopita baada njiwa aliyekuwa amefungwa hiriz...Read more ?
- Siku Moja Kabla ya Ndoa...Bi Harusi Agoma Kuolewa...Bwana Harusi Aangua kilio, Pilau Ladoda29 May 20150
Chande Abdallah na Deogratius Mongela KIMENUKA! Ikiwa ni siku moja tu kabla ya kufungw...Read more ?
- Makubwa! Bibi Harusi Atoweka Siku 4 Kabla ya Ndoa Yake28 May 20150
MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Juma Mwinyivue maarufu kama ‘Tabambwa’ (28) mkazi wa...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment