
1.Hupigiwi simu hadi umpigie
2.Hutumiwi sms hadi utume
3.Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi
4.Ukimpigia anakwambia yupo bize.
5.Ukimpigia simu ucku anakwambia anataka kulala au simu haina charge ukikaa kidogo ukipiga tena no. Bize.
UKIONA HIVYO UJUE HAPO HUNA CHAKO KAA TU PEMBENI UANGALIE USAARABU MWINGINE WALA USISUBIRI KUAMBIWA UMECHOKWA.
Post a Comment
Post a Comment