Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
ajali dodomaAjali mbaya ya bodaboda imetokea usiku huu maeneo ya barabara kuu kwenye mataa yaendayo Area D ambapo Dereva wa Bodaboda kagongwa na gari ndogo iliyokuwa inatoka maeneo ya mjini kuelekea Area D
ajali dodoma

ajali dodoma
Dereva Bodaboda huyo akiwa anaugulia maumivu ya mguu mara baada ya kupata ajali na kunusurika kifo hivi punde katika mataa ya barabara iendayo AREA D - DODOMA ajali dodoma

Source: Lindiyetu

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
15 Mar 2015

Post a Comment

 
Top