Ajali mbaya ambayo imetokea Usiku wa kuamkia leo maeneo ya CBE Dodoma..Basi la Osaka Raha ambalo lilikuwa linatoka mwanza kuelekea Dar,Chanzo cha ajali hiyo ni gari kubwa aina ya semitrela lilikuwa limekata trela lake katikati ya bara bara kuu inayoelekea Dodoma Inn, Na basi hilo inasemekana lilikuwa spidi sana na bila kujua kuwa katikati kulikuwa na trela hilo na katika jitahada za kujaribu kulikwepa liliingia kwenye mtaro na kugonga mti ambao..Inasemekana hakuna aliyepoteza maisha ila majeuhi ni wengi na wamekimbizwa katika hospitali
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment