March 17, 2025 10:32:19 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


WAZIRI wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato, Dk John Pombe Magufuli amelaani vikali tukio la kikatili la kutekwa na kuuawa kwa mtoto Yohana Bahati pamoja na kujeruhiwa vibaya kwa mama mzazi wa marehemu na watu wasiofahamika.
Akizungumza kwa masikitiko makubwa jijini Dar es Salaam, Dk Magufuli amewataka Watanzania kuishi kwa amani na upendo na kuacha dhana ya kutajirika kutokana na viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).
“Tukio hili ni la kinyama na halikubaliki popote duniani, watu wanatakiwa waelewe kuwa mtu huwezi kutajirika kutokana na viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi kama alivyofanyiwa mtoto Bahati,” alisema Waziri Magufuli.
Katika hatua nyingine, Waziri Magufuli ametoa msaada wake wa awali kiasi cha Sh milioni moja kwa ajili ya kumsaidia Ester Jonas mama mzazi wa mtoto huyo aliyeuawa na wa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
23 Feb 2015

Post a Comment

 
Top