Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba mwanamme mmoja na mwanamke wamekutwa wamenasana wakati wakifanya mapenzi kichakani katika milima ya Don bosco iliyopo karibu na Shule ya Sekondari Donbosco katika kata ya Didia wilaya ya Shinyanga vijijini mkoani Shinyanga.

Habari zinasema kuwa watu hao wamekutwa wamenasana katika mlima huo jioni hii wakati wakivunja amri ya sita huku ikidaiwa kuwa mwanamke huyo ni mke wa mtu.

Inaelezwa kuwa mwanamme ni mwendesha bodaboda anayefanya safari zake kutoka Didia hadi Buyubi na mwanamke anadaiwa kuwa mkazi wa kijiji cha Chembeli.

Tutawaletea taarifa kamili hivi punde .....

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top