April 1, 2025 07:00:30 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This




Queen Elizabeth II atafuta derevaMalkia wa Uingereza atafuta dereva atakayepokea mshahara wa dola 37,000 kwa mwaka

Malkia Elizabeth Wa Pili (Queen Elizabeth II) anaarifiwa kutafuta dereva atakayepokea mshahara wa fedha dola 37,000 kwa mwaka.
Kulingana na maelezo yaliyochapishwa katika tovuti rasmi ya Ufalme wa Uingereza, iliarifiwa kwamba Malkia Elizabeth Wa Pili anatafuta dereva.
Kwa mujibu wa ilani hiyo iliyotolewa, dereva anayetafutwa atapokea mshahara wa dola 37,000 za Kimarekani kwa mwaka.
Dereva huyo atakayepewa idhini ya mapumziko ya siku 33 ndani ya mwaka mmoja pia maslahi na mahitaji yake mengine yatagharamiwa na Ufalme wa Uingereza.
Dereva atakayechukuwa nafasi hiyo atakuwa na jukumu la kumbeba Malkia kwa gari na anapaswa kuwa na uwezo wa kulinda abiria pamoja na kufahamu kanuni za magari na masuala ya kiufundi.


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
22 Feb 2015

Post a Comment

 
Top