NJEMBA mmoja ambaye ni fundi saa maeneo ya Stendi Kuu jijini Arusha leo amepokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kudaiwa kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa darasa la tatu wa shule moja jijini humo.
Fundi Saa Apokea Kichapo Akidaiwa Kumlawiti Mwanafunzi wa Kiume wa Darasa la 3 - Arusha

Post a Comment
Post a Comment