Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mwigizaji wa filamu mwenye vituko vya aina yake, Faiza Ally ambae ni mama wa mtoto moja, aliezaa na Mbunge wasasa wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi  'Sugu' ameyasema hayo  akiwa visiwani Zanzibar kwenye mapumziko mafupi.
Mwigizaji huyu ambae mara kadhaa amekuwa akijisifia kwa kuwa na FIGA nzuri akidai hata baada ya kuzaa bado umbo na mvuto wake bado upo pale pale amesema angekuwa na uwezo wa kipesa  angezaa watoto wengi zaidi kiasi cha kufikisha idadi ya wachezaji wa timu ya mpira kwa sababu kuwa mama ni kitu kizuri sana kwake.
“Kuwa mama ni kazi poa sana- napenda sana yaani ningekua na uwezo wa kipesa ningezaa team ya mpira”, Alisema Faiza
Mbali na watu kuendelea kumshambulia kuhusu uvaaji wa nguo zake akiwa na mtoto wake mwananamama huyu ameonekana ni mtu mwenye kufanya kile anachokiamni  na sio watu wanataka nini.
Jionee baadhi ya picha hapo chini  akiwa na mtoto wake ufukweni.



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top