June 6, 2025 06:14:22 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Bond baada ya habari yake kutoka gazetini kuwa ana watoto watatu na mmoja amezaliwa majuzi ...lulu (kimwana manywele)anadai alimpigia wastara kumwambia kuwa demu wa bond kajifungua (ikadaiwa wastara akazimia)lulu kasema aliamua kusema siri hiyo sababu Bond alimzingua(lulu aliwahi kuwa demu wa Bond...Bond kafunguka hivi:....

"Binadamu wengine bana wanadhani ustar unakuja kwa kuandikwa kwenye magazeti tu.
Yaani mtu anakosa kazi ya kumfanya aandikwe magazetini basi anaona andikwe kupitia watu.. eti unawafata watu wa magazeti na kuanza kusema uongo kisa uonekane unanijua sana.. dah eti nina watoto wanne? We unawajua? Mama zao wataje basi, na magazeti mengine uchwala kweli ati mtu anakuja kuwaambia muandike kitu nanyi mnaandika..ntakuja kuwaambia mjiandike na nyinyi..huna ushahidi wowote na jambo unaandika kweli? 
Ila ipo siku yenu mtafurahi tu in shaa allah...kila jambo linakuja kwa sababu.. alhamdulillah..."

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
27 Feb 2015

Post a Comment

 
Top