Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baada ya mwaka jana 2014 kuuvunja ukimya uliotawala kwa miaka mingi kwa kuachia single ya ‘Mwana’, Alikiba anategemea kutoa wimbo wake mpya wa 2015.
Chekecha1
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Alikiba ameshare cover za wimbo mpya uitwao ‘Chekecha’ unaotarajiwa kutoka Ijumaa Feb 27. Wimbo huo umefanyika kwenye studio ya Combinenga chini ya producer Man Water.
Chekecha2
Kutokana na ukubwa alionao na cheo cha ‘ufale’ ambacho amejipa, maswali ambayo mashabiki wengi wanajiuliza ni je ngoma hiyo itafanikiwa kuizidi ‘Mwana’?

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
26 Feb 2015

Post a Comment

 
Top