
Staa Ali Kiba mapema jana kupitia page yake ya Instagram aliachia picha za watoto wake watatu na na kuandika ujumbe ambayo ulidhihirisha mapenzi yake ya dhati kwao, licha ya staa huyo kuwa na watoto waote hao na kila mtoto na mama yake bado anawapenda huu ndio ujumbe alindika kwenye Instagram yake
Nawapenda sana watoto wangu! Kengine ambacho kina beba na kita endelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana. Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde siku zote, Amin. #Countdown2015 #KingKiba

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment