March 19, 2025 09:19:36 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
watoto1
Askari Polisi wa Kenya katika mji mkuu Nairobi leo wamewafyatulia mabomu ya machozi wanafunzi wa shule ya msingi Lang’ata waliokuwa wakiandamana kupinga kunyang’anywa ardhi ambayo ilikuwa kiwanja chao cha michezo.

watoto2
Polisi hao wakiwa na mbwa waliwatawanya wanafunzi ambao wengi wao inasemekana kuwa watoto wenye umri wa miaka sita baada ya kuangusha ukuta mpya uliojengwa katika eneo la shule.
watoto3
Baadhi yao walipelekewa hospitalini baada ya kupata majeraha madogo madogo huku polisi mmoja akiumizwa baada ya kupigwa jiwe usoni na wanafunzi.
Hii imetokea leo January 19, siku ambayo wanafunzi hao walifika shule kwa mara ya kwanza baada ya mgomo wa walimu uliokuwepo kwa wiki mbili kutokana na madai yao ya mishahara.
Taarifa hii unaweza kuitazama hapa, hii nimekutolea kituo cha K24 Kenya.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
19 Jan 2015

Post a Comment

 
Top