Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
ringgg
Imezoeleka kuona uhusiano wa karibu kati ya mzazi na mtoto wake lakini si uhusiano wa mapenzi kama ambavyo binti huyu wa miaka 18 ameamua kufanya kwa kuwa na uhusiano na baba yake mzazi na sasa ametangaza kutaka kufunga nae ndoa.

Msichana huyo anayeishi katika mji wa New Jersey ambaye alifanya mahojiano na jarida la New York alieleza kuwa amekua katika mahusiano na baba yake huyo kwa miaka 12 sasa mara baada ya mama yake kufariki na sasa wamemua kuvunja ukimya kwa kufunga ndoa.
Ndugu wa familia yetu kwa upande wa mama walijua tupo na ukaribu kama baba na mtoto wake lakini kwa upande wa ndugu wa baba walijua sisi ni wapenzi na walikua wakituchukulia kama wapenzi wengine,”alisema binti huyo ambaye jina lake halikuweza kuwekwa hadharani.
Alisema baada ya kufunga harusi wamepanga kuhama katika mji wa New Jersey ambapo watu wengi wamekua wkaipinga mahusiano yao na kwenda kuishi sehemu nyingine.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
19 Jan 2015

Post a Comment

 
Top