Msanii mkongwe wa filamu nchini, Vicent Kigosi a.k.a Ray amejipanga kufanya filamu nyingi za kimataifa mwaka huu, huku akiweka bayana ataanza na Ghana pamoja na Nigeria.
Kwa mujibu wa tovuti Bongo5 , Ray amesema ndani ya mwaka huu ataweka pembeni kazi za ndani na kujikita kimataifa zaidi.
“Nimepanga kufanya mambo mengi mwaka huu, lakini mwaka huu movie zangu zote nitafanya International sitafanya movie yoyote ya hapa hapa kwa sababu kama hapa nishafanya sana, kwahiyo movie zangu zote nitakazocheza mwaka huu 90% nitacheza nje, kwahiyo kama kuna lolote ambalo litabadilisha nitawajulisha, ni mapema sana kusema lakini kitu ambacho ninaweza kuweka wazi ni nitaanza kazi na Nigeria na Ghana, ndani ya mwezi wa nne nadhani kazi zitakuwa zimeanza,” alisema Ray.
Mipango hii ya Ray inaonekana kja baada ya mwanadada Wema kwenda Ghana na kufanya filamu na Van Vicker.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Maneno ya Batuli Kuhusiana na Moto Uliyo Teketeza Nyumba yake Jana Akiwa Kwenye Uzinduzi wa Kampeni CCM24 Aug 20150
Staa wa Bongo movie Batuli, leo amepatwa na ajali ya kuungulia nyumba yake kwa moto wakati akiw...Read more ?
- Baba Haji Ashangilia Anguko La Wema Sepetu..Afurahia Wema Sepetu Kushika Nafasi ya Mwisho31 Jul 20150
STAA wa filamu Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’ juzikati aliangusha sebene la nguvu kwenye Viwanja ...Read more ?
- Nora Awananga Wanaodai Ameshazeeka..Adai yeye Ajagalagazwa Ovya Kama Hao Wengine wa Bongo Movies.....31 Jul 20150
Nora Bongo Movies Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, mkali wa sanaa ya uig...Read more ?
- Mapenzi Yamtokea PUANI Davina24 Jul 20150
Staa wa Filamu za Kibongo, Halima Yahaya amedaiwa kutoswa na mwanaume aliyemuachanisha na mumewe...Read more ?
- Batuli kufuata nyayo za Kanumba, ajipanga kuandaa filamu yenye bajeti kubwa24 Jul 20150
Msanii wa filamu nchini, Yobnesh Yussuf maarufu kama Batuli amesema mashabiki wake wa filamu was...Read more ?
- Nora: Bongo Movie Wamesharibu Sanaa ya Uigizaji Tanzania...Huwezi Kaa na Wazazi Wako Ukaangalia Movie Wataharibu Hali ya Hewa tu20 Jun 20150
MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ amedai kuwa ‘Bongo Movies’ wameharibu sanaa ya ...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment