Kutoka Nollywood, story hazikuwa kwa siku ya leo, wengi huenda hawakuamini kutokana na uvumi uliokuwa ukienea mitandaoni kwamba muigizaji Muna Obiekwe amefariki, lakini huo ulikuwa uvumi ambao ulikanushwa, hii ilitokana na muigizaji huyo kuumwa kwa muda mrefu ambapo alikuwa akisumbuliwa na tatizo la figo.
Staa huyo wa filamu za Nigeria amefariki jana mchana akiwa hospitali jijini Lagoskutokana na ugonjwa huo wa figo.
Wasanii wenzake pamoja na ndugu zake walifahamu kuhusu ugonjwa wake, kuna wakati aliwahi aliwaambia marafiki zake kwamba amepanga kuandaa show ya maigizo ya jukwaani ili kupata fedha za matibabu na hakuwa tayari kutangaza ili watu wakusanye michango kwa ajili ya matibabu.
Mastaa mbalimbali wa Nigeria wameshtushwa na kifo cha msanii mwenzao na wengine kuandika kupitia mitandao ya kijamii.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Mgahawa Wauza Nyama ya Binaadamu Nigeria..Wamiliki Wakamatwa14 May 20150
Mgahawa mmoja nchini Nigeria katika jimbo la Anambra umefungwa kufuatia viongozi wenye mamlaka nc...Read more ?
- Ex-Tahidi High Actress Tanya Flaunts Her N()K3D Beauty, ( PHOTOS)16 Apr 20150
Former Tahidi High actress, Tanya, is one lady who keeps men glued to their screens due to her g...Read more ?
- Umelisikia Sharti la MAKAHABA ( Machangudoa) Wa Nigeria Walilolitoa Kwa Rais Mpya??......Wako Tayari Kugawa Uroda Bure Kwa Siku 3 Iwapo.....!08 Apr 20150
Waswahili wanasema ahadi ni deni.. akina dada ambao wanafanya biashara ya kuuza miili yao Nigeri...Read more ?
- Update: Uchaguzi Nchini Nigeria Muhammadu Buhari wa Chama cha Upinzani Anaongoza Kura Milioni 231 Mar 20150
Jenerali Muhammadu Buhari anaongoza kwa zaidi ya kura milioni mbili zaidi ya mpinzani wake wa ...Read more ?
- Photo: See what a woman allegedly did to her househelp23 Mar 20150
This photo is making the rounds on Twitter. The person who shared it claims a woman did that to h...Read more ?
- Boko Haram members kill their wives as they escape from Bama20 Mar 20150
Many of the Internally Displaced Persons who fled to Maiduguri after the town of Bama was recaptu...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment