Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mwanamme mmoja anayekadiriwa kuwa na miaka kati ya 30 hadi 32 aliyekuwa anajulikana kwa jina la WA TABORA  ameuawa kwa kupigwa kasha kuchomwa moto na wananchi waliojichukulia  sheria mkononi karibu na  makaburi ya Majengo mjini Shinyanga.Tukio hilo limetokea mchana huu na inaelezwa kuwa chanzo ni mwanamme huyo kutuhumiwa kuiba sandals(ndala)

 Mwili wa marehemu ukiwa katika shamba la bibi Jeni Kiweru karibu na makaburi ya majengo mjini Shinyanga
Inaelezwa kuwa aliyeuawa alikuwa na tabia za wizi na mara kwa mara alikuwa anapigwa kwa tabia zake na leo zimetimia za mwizi 40
Askari wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga akishirikiana na msamaria mwema kusitiri mwili wa marehemu

Mwili wa marehemu baada ya kusitiriwa

Gari la polisi likiwasili eneo la tukio kuchukua mwili wa marehemu

Mamia ya wakazi wa Shinyanga wakiwa eneo la tukio

Askari wa jeshi la polisi wakichukua mwili wa marehemu

Askari polisi wakiondoka na mwili wa marehemu
Askari polisi wakiondoka eneo la tukio

Wakazi wa Shinyanga wakiondoka eneo la tukio
Wakazi wa Shinyanga mjini wakiondoka eneo la tukio.
Na~Malunde1 Blog

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top