Home
»
MAPENZI YA MASTAA
» Baada ya Ndoa Kubuma Isabela Mpanda na Luteni Karama Wamwagana Rasmi, Kisa Hichi Hapa
Na Gladness Mallya/Amani
WALE wasanii waliodumu kwenye uhusiano wa kimapenzi muda mrefu, Isabela Mpanda na Luteni Karama hatimaye wamemwagana rasmi kutokana na kile kilichodaiwa ni kushindwana tabia.
Akipiga stori na paparazi wetu, Isabela alisema ameamua kummwaga Karama kwa sababu ameshamfumania kwa njia ya meseji za wanawake zaidi ya mara tatu kwenye simu yake ya mkononi pia amegundua siyo mwenye malengo ya kimaisha.
“Nimekaa kwenye uhusiano na Karama kwa miaka 18 sasa lakini sioni faida yoyote, nimeshamfumania mara kibao kwenye simu mara mwanamke anamwambia kwamba akachukue nguo zake kumbe alikuwa anaishi kwangu na huko pia wanawake wengine wakimshukuru kwa mapenzi yake.”
“Bora nibaki na baba mtoto wangu ambaye niligombana naye kwa sababu ya Karama ila sasa nimeamua kubaki naye maana yeye alishatoa mpaka barua ya uchumba nyumbani kwetu na anamsaidia mama yangu,” alisema Isabela.
Isabela na Karama mwaka jana walitangaza kuoana baada ya kukaa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu lakini lengo hilo halijatimia na ndoa kuyeyuka
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Mapenzi Yamtokea PUANI Davina24 Jul 20150
Staa wa Filamu za Kibongo, Halima Yahaya amedaiwa kutoswa na mwanaume aliyemuachanisha na mumewe...Read more ?
- Kigogo Mpya Wa Jack Wolper Anaswa02 May 20150
Achilia mbali akina pedeshee Mangi, Dallas na Gee Modal, kigogo mpya wa staa wa sinema za Kibong...Read more ?
- Vanessa Mdee: Japo Nina Boyfriend (Jux) ila Sasa Hivi Siwezi Kuwa na Mtoto…Ifahamu Sababu26 Apr 20150
Muimbaji wa ‘Nobody But Me’ Vanessa Mdee a.k.a Vee Money ambaye hivi sasa ameweka wazi uhusiano w...Read more ?
- Naima wa Aslay Ndani ya Penzi Zito na Kipa wa Simba Manyika JR ..Adaiwa Kumshusha Kiwango cha Mpira Awapo Uwanjani21 Apr 20150
Baada ya kuwapa majibu wale wote ambao waliokua wanadai kwamba ameshuka kiwango, hivi sasa watu ...Read more ?
- Mahaba Niue! Siri ya Mapenzi Yao Iko Moyoni Mwao Wenyewe17 Apr 20150
Mastaa wengi wamekuwa wakiingia kwenye uhusiano na kufanya siri kubwa. Wapo ambao wanaonekana dhah...Read more ?
- Hatimaye Shamsa Ford Atoboa Kuwa Nay ndio “EndlessLove” Wake14 Apr 20150
Staa mrembo wa Bongo Movies Shamsa Ford ambae siku za hivi karibuni alikanusha waziwazi alipoku...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment