Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baada ya Diamond Platnumz kukanusha kuwa hakukuwa na bifu baina yake na Davido lakini kwenye Twitter limeibuka lingine na moja kwa moja likiwa linamlenga Diamond.

Kutoka kwenye akaunti ya Twitter ya msanii Davido kutoka Nigeria ametweet maneno yanaonyesha kufedheheshwa na tabia ya Diamond Platnumz na alichokiandika hiki hapa chini 
"Niggas forget who helped them ..... So quick .... God don bless me I do my thing dey go keep my name out ur mouth !! WHO U DON HELP IDIOT!"
"Ur downfall is coming u bastard ungrateful broke fool!!"

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top