Aliyekuwa mshambuliaji wa Arsenal, Gervinho ambaye mkwaju wake ulipiga mwamba wa goli la Guinea katika kipindi cha kwanza alipewa kadi nyekundu na hivyo kutoka nje katika dakika ya 58 kwa kosa la utovu wa nidhamu la kumpiga mchezaji mwenzake.
Mcheza Traore wa Guinea karibia apate bao la pili wakati kombora lake lilipogonga mwamba wa goli, lakini IvorY Coast ilijiokoa baada ya Seydou Doumbia Kufunga katika eneo la hatari.
Usiku huu wa saa NNE ipo mechi kati ya Mali na Cameroon.
2200 Mali v Cameroon [Nuevo Estadio de Malabo]
Jumatano Januari 21,2015.
KUNDI A
1900 Equatorial Guinea v Burkina Faso [Estadio de Bata]
2200 Gabon v Congo [Estadio de Bata]
Alhamisi Januari 22,2015.
KUNDI B
1900 Zambia v Tunisia [Nuevo Estadio de EbebiyÃn]
2200 Cape Verde Islands v Congo DR [Nuevo Estadio de EbebiyÃn]
|
Post a Comment
Post a Comment