
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia (pichani) leo amewavua madaraka wakurugenzi wa Kasulu, Bunda, Serengeti, Mkuranga, Sengerema, Kaliua, kwa uzembe wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Wengine watatu wamepewa onyo la kawaida, na hawa ni Wakurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Hai na Mvomero.#Uwajibikaji
Waliosimamishwa kazi ni wakurugenzi wa Hanang', Mbulu, Ulanga, Kwimba pamoja na wa Manispaa ya Sumbawanga. #Uwajibikaji
Waziri Ghasia amesema kuwa Wakurugenzi wengine watatu wapewa onyo kali, ambao ni wa halmashauri za Rombo, Busege na Muheza #Uwajibikaji
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment