Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Tukiwa tumebakiza siku chache tu kabla ya kumalizika kwa mwaka 2014. Mastaa hawa wawili toka tasnia ya filamu nchini wametoa salamu hizi za mwisho wa mwaka ambazo zinamhusu kila mtu. Ukitafakari vizuri na kuamua kufanyia kazi yaliyosema linaweza kuwa jambo la maana sana kwako.

Salma Jabu - Nisha

"Kila binaadam anaijua leo kesho haijui,tumebakisha siku chache inshaallah mwaka uishe,sijui km ntafika au sifiki. Kikubwa leo hii ambayo nimeiona naomba nichukue fursa hii kumuomba msamaha kila ambaye nlimkosea,Iwe kwa bahati mbaya au kwa makusudi,. Sitokuwa mpya mwaka 2015 coz ni yule yule ila ntakuwa na amani ya roho nikiwa safi kwa kila mmoja... amani idumu,nawapenda nyoteee,mashabiki zangu na wasio wangu pia nawapenda.. mm binafsi nimemsamehe kila mtu alonikosea.. NIKISEMA WOTE NAMAANISHA WOTE MNISAMEHE NA TUFUNGUE UKURASA UPYA. Happy new year..."

Zamaradi Mketema 

"...Kila mtu utaskia NEW ME.. Leaving behind this and that lakini tusidanganyane ama niseme usijidanganye... WEWE ni YULE YULE kinachobadilika ni herufi tu.. inatoka 4 inaingia 5.. lakini mipango yako ni ile ile.. TABIA ZAKO ni zile zile, maisha yako ni yale yale.. wanaokuzunguka ni wale wale na hata ndoto zako ni zile zile... NOTHING SPECIAL!!! Na kama kila kitu ni KILE KILE basi hata WEWE utabaki YULEYULE sababu vinavyoendesha maisha yako vyote ni VILEVILE!!! Hayo mabadiliko unayosema yatatokea wapi!! MWAKA MPYA hauji na zawadi ya MABADILIKO kama wewe binafsi hutaki kubadilika.. na ukiamua MWAKA MPYA wa mabadiliko unaweza hata ukawa mwezi wowote katika mwaka.. JIULIZE MWAKA JANA wakati unaingia hukuzungumza hayahaya!!??? ULIFANYA NINI!!?? Mambo ya MWAKA MPYA MAMBO MAPYA ni maneno tu yanapatikana popote...TUUFURAHIE TU ukiingia na kumshukuru MUNGU basi lakini mambo ya NIMEKUWA MTU MPYA utayahakikisha mwenyewe ukifika mwezi february baada ya kujigundua huna ulichobadilika.. usisubiri mwaka upinduke ndio ujiongeleshe kuhusu kubadilika, KILA SIKU ni siku ya mabadiliko..... NAWAOMBEA KHERI WOTE WENYE MABADILIKO YA UKWELI WAFANIKISHE na wale wenye longolongo za insta kila mwaka mpya pia kila la kheri huenda ikakusaidia pia maana PRACTISE MAKES PERFECT!!!
~bongo Movie

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top