Taswira ya Mtaa wa Ohio katikati ya jiji la Dar es Salaam ulivyokuwa umekumbwa na maji.…wakati MVUA kubwa iliyonyesha leo Desemba 29,2014 na kusababisha mafuriko katika mitaa mbalimbali ya Jiji hilo la Dar es Salaam na kuleta usumbufu kwa wakazi wa jiji hilo kama inavyoonekana pichani.
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment