Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Staa mkali wa filamu za hapa Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’.STAA mkali wa filamu za hapa Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa hakuna kitu ambacho kinamuuza na kukichukia kama mapenzi yaliyopita. 

Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Batuli alisema kuwa anachukia na kudharau mno uhusiano uliopita kwani haukuwa ni sahii kwake hivyo hataki hata kuukumbuka. 

“Nayachukia sana mapenzi yaliyopita kwa kweli na kuna wakati sipendi kabisa kuifanya akili yangu ikumbuke uhusiano wa nyuma, maana hauna kumbukumbu nzuri kwangu,” alisema Batuli ambaye alishawahi kubanjuka penzini na mwigizaji Mohamed Mtonesia ‘Mtunis’ na Mr. Kelvin walifunga naye ndoa na kumwagana

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top