Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Liverpool imeifunga Swansea kwa mabao 4-1 katika mechi ya Ligi Kuu England.


Katika mechi hiyo kwenye Uwanja wa Anfield, Liverpool ilipata mabao yake mawili kupitia kwa Adam Lallana, kabla ya Jonjo kujifunga na beki wa kushoto Moreno akafunga moja.
Kutokana na ushindi huo, LIverpool imefikisha pointi 28 na kupanda hadi nafasi ya nane ikiacha Swansea katika nafasi ya tisa.

 Liverpool:
 Mignolet, Sakho, Skrtel, Can, Manquillo, Henderson, Lucas, Moreno, Coutinho, Sterling, Lallana.
Subs: Toure, Gerrard, Lambert, Borini, Balotelli, Markovic, Ward.
Swansea: 
Fabianski, Richards, Fernandez, Williams, Taylor, Britton, Shelvey, Dyer, Sigurdsson, Routledge, Bony.
Subs: Ki, Emnes, Carroll, Gomis, Rangel, Tremmel, Bartley.
Referee: Andre Marriner (W Midlands)








Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top