TABIA za mitoko ya usiku matembezini, uvaaji viatu virefu na unywaji pombe unaofanywa na wamama wajawazito, kama alivyo sasa muigizaji Aunt Ezekiel, zimeelezewa kuwa si nzuri na zina uwezekano mkubwa wa kusababisha madhara kwa mtoto anayetarajiwa kuzaliwa.
Akizungumza baada ya kuulizwa na gazeti hili juu ya mwenendo wa muigizaji Aunt Ezekiel ambaye mara kadhaa huonekana akiwa ‘viwanja’ usiku, daktari mtaalamu wa magonjwa ya kina mama na watoto, aliyejitambulisha kwa jina moja la Dokta Chale, alisema utokaji wa usiku na uvaaji wa viatu virefu unaweza kusababisha matatizo ya nyonga, shida wakati wa kujifungua, miguu kuuma na uvimbe kwenye vifundo vya miguu ‘enka’.
Kuhusu unywaji pombe, Dokta Chale alisema endapo mama mjamzito atafanya tabia hiyo, ipo hatari ya uelewa wa mtoto katika ukuaji wake kuwa mdogo na pia kuchukua tabia zote za mama yake.
...Akizidi kujiachia.
“Viatu virefu na mitoko ya usiku kwa mama mjamzito ina madhara makubwa sana kwani mtoto atakuwa na uelewa mdogo, yaani akili yake inakuwa haikui sawasawa, kifupi ana-adapti (kuiga) tabia zote za mama yake anaweza kuwa zezeta kama mama anatumia pombe,” alisema.
Katika kudhihirisha kuwa ustaa ni kazi kubwa, licha ya ujauzito wake kuonekana mkubwa, Aunt Ezekiel amekuwa akijirusha kama kawaida sehemu mbalimbali nyakati za usiku huku wakati mwingine akiwa amevaa viatu virefu.
~Global
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Lulu Usitukane Wakunga, Uzazi Ungalipo!20 Jul 20160
KWAKO mtoto mzuri ndani ya Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Hujambo? Habari ya huko ulipo? W...Read more ?
- Huu ndo Mwonekano Mpyaaaa wa Snura Baada ya kujifungua.18 Feb 20150
Siku si nyingi sana mwanamama Snura wa Majanga amejifungua mtoto wake wa pili. Kume...Read more ?
- Wastara: Bond we ni Zaidi ya Maneger, My Director, My Friend, My Boy and My Lov....15 Feb 20150
Hatimaye Wastara Amwita Mr Bond Mpenzi wake hadharani , leo ni siku ya kuzaliwa kwa MR Bond na w...Read more ?
- Kajala: Paula Amekuwa Sasa Nahitaji Mdogo Wake13 Feb 20150
Na Imelda Mtema/Ijumaa Mwanadada anayeendesha maisha yake kwa kuuza sura kwenye filamu za Kibon...Read more ?
- Emmanuel Mbasha akikana kichanga cha Flora, ‘nina mtoto mmoja ana miaka 10′06 Feb 20150
Familia ya Mbasha inaendelea kutengeneza vichwa vya habari. Baada ya mchungaji maarufu nchini, Gwa...Read more ?
- VIJIMAMBO: Nikulidhishe Kwani Wewe Unanilidhisha!!!!-Lulu04 Feb 20150
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michale ‘Lulu’ amewatolea uvivu baadhi ya followe...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment