Kocha wa zamani wa Manchester, David Moyes ametajwa kuwa meneja mpya wa klabu ya Hispania, Real Sociedad.

Hiyo ya kwanza tangia atimuliwe kama meneja wa United mwezi April mwaka huu baada ya kufanya kazi kwa miezi 10. Moyes amechukua nafasi ya Jagoba Arrasate, aliyeachishwa kazi na Sociedad kutokana na kuwa na matokeo mabaya.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment