
Msichana mwenye umri wa miaka 18 anashikiliwa na polisi baada ya akituhumiwa kumuua muwe wake kwa kumwangi maji ya moto.Mwanamke huyo alifanya hivyo kama kulipiza kisasi kwa mumewe huyo aliyempiga na hadi kupoteza fahamu.
Msichana anatambulika kama Aisha Jibrin analipotiwa kumuua mume wake kwa kile kinachodaiwa mume wake huyo kwasasa ni marehemu alimpiga baada ya kumpa taarifa ya kuwa ana mimba kitendo ambacho mwanaume hakupenda mke wake awe na mimba bila taarifa yake kitendo hicho kilisababisha mwanamke huyo mimba yake kuhalibika .
mwanaume huyo alifariki hospitali baada ya kupelekwa kwa ajili ya matibabu.
Ndugu wa marehemu, Nasiru Mohammed alitoa taarifa juu ya tukio hilo kwa polisi.
Aisha Jibrin ameshtakiwa kwa mauaji. Kesi yake itasikiliza Oktoba 28. huku yeye mwenyewe akiwa mahabusu akisubilia kesi yake kusomwa tarehe hiyo.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment