Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Tyga-lil-wayne-nicki-minajRapper wa Young Money ‘Tyga’ ametumia twitter kutoa ya moyoni kuhusu record lebel yake ya YMCMB na kusema anashikiliwa mateka na uongozi wao.

Tyga anasema album yake mpya ya Gold ipo tayar ila lebel yake haitaki itoke muda huu. Tyga aliendelea kuponda Muziki unavyoendeshwa Marekani na baadae akamponda manager wa Young Money Mack Maine.

 Hizi Ndio twit zake.
tyga 2Tyga

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top