
Producer Tudd Thomas ambaye mwaka uliopita na mwaka huu ametayarisha nyimbo kubwa barani Afrika ikiwemo ‘Number 1 remix ya Diamond Platnumz f/ Davido, Bum Bum ya Diamond aliyomshirikisha Iyanya, Ndagushima ya Ommy Dimpoz na Prokoto ya Victoria Kimani, amesema kuna ngoma zitakuja alizowafanyia wasanii hao wakubwa wa Nigeria.
Amesema alichojifunza kwa kufanya kazi na wasanii hao wa Nigeria ni kuwa industry zote za muziki zinafanana ila kinachotakiwa ni kufanya kazi kwa bidii.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment