Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mkazi  Chanika mkoa wa Dar es salaam,PauloMilanzi(35), anayetuhumiwa kushiriki kumuua ofisa usalama wa taifa Sylivanus Mzeru amepigwa risasi na kufa katika majibizano ya silaha na Polisi.

Kauli hiyo imetolewa na kamanda wa kanda maalumu ya Kipolisi, Kamanda Kova.

Kamanda kova alisema mtuhumiwa huyo alikuwa akitafutwa na polisi kwa muda mrefu kuhusiana na matukio mbalimbali ya mauaji

na unyang’anyi wa kutumia silaha jijini Dar es salaam na mikoa ya jirani.
Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top