Rapper Jay Z na mke wake wapo Paris Ufaransa wiki hii ambapo wakati Jay akiwa kwenye matembezi huku akiwa amembeba mtoto wake ilitokea mmoja wa Watalii baada ya kumuona Jay akauliza ‘huyu ni nani? unajua jibu alilotoa mume huyu wa Beyonce?
Japo inaonekana Jay Z alijibu kwa dharau, wataalamu wa mambo wanasema huenda kweli mtalii huyu hakuwa anajua anaepita ni nani manake alikua kwenye eneo la kitalii ambalo wengi wanaokuwepo hapo huchukua kumbukumbu kupitia camera zao.Kibonajoro.com ndio mtandao wako kwa habari za kitaifa/kimataifa, burudani, michezo, udaku na siasa, Tuwe pamoja huku pia >> Facebook , Twitter
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment