Rais wa Marekani, Barack Obama, ametoa kauli yake kuhusu mwanamume aliyeshikwa na wivu baada ya yeye kumbusu mpenzi wake kwenye mashavu.
"rais tafadhali usimguse mpenzi wangu," alisema mwanamume, aliyetambuliwa na CNN kama Mike Jones.
Yote hayo yalitokea wakati Obama alipokuwa anapiga kura ya mapema katika jimbo la Illinois karibu na mwanamke aliyetajwa tu kama Aia Cooper.
''Kusema kweli sikuwa nimepanga kufanya hivyo,'' alisema Rais Obama , huku akiendelea kupiga kura yake huku Copper akiangua kicheko.
Baadaye Copper aliyeonekana kushikwa na aibu aliomba radhi kwa niaba ya mpenzi wake.
Obama alionekana naye kashikwa na aibu na kusema kwa tabasamu kuwa ,''hiki ni kisa tu cha mwanamume ndugu yangu kutaka tu kuniabisha bila sababu,''
Baada ya maongezi ya muda mfupi kati ya Obama na Cooper, wawili hao walimaliza kupiga kura, na kamera ikaonyesha Obama akimbusu Cooper mashavuni na kumpa mpenzi wa Coopper sababu nyingine ya kuongea.
Chanzo:BBC
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Ten Signs She'll Make a Bad Wife-Men Read This20 Apr 20150
If you’re thinking of asking your girlfriend to become your wife, deciding if you’re ready to ma...Read more ?
- I cant Help..Am in love with my Boss..and He Cant Notice it ..What Should i Do20 Mar 20150
My boss at the office is young and Handsome , he is about 29 yrs old and according to what i h...Read more ?
- Jerry Muro: Nipo Tayari kurudi ITV Hata Usiku wa Manane15 Feb 20150
Jamaa anasema alienda kusoma na alipirudi akakuta kibarua chake kimeota ngaro Ila anakiri ITV n...Read more ?
- Baada ya Kukosea Kufunga Vifungo vya Suti, Wassira Aamua Kumtafuta Sheria Ngowi ili Amtengenezee Suti zake12 Feb 20150
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); BAADA ya kuandamwa sana katika mitanda...Read more ?
- Vyoo vya Kujisaidia Ukiwa Umekaa vina Starehe Lakini vina Madhara Makubwa Kwa Binadamu23 Jan 20150
Choo cha Kukalia Nyumba nyingi mijini na ofisi mbalimbali zinazojengwa hivi sasa, huwekewa vyoo ...Read more ?
- Inasikitisha Sana: Akaa Miaka Mitatu Muhimbili Bila Matibabu Ya Aina Yoyote20 Jan 20150
Kijana Amosi Ng’arare Marale Sasi,(22) anayesumbuliwa na uvimbe usoni.Alikuja Muhimbili ili...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment